TIBA YA FARASI – Programu ya kipekee katika zizi la farasi la HorseAbility kwenye chuo cha SUNY Old Westbury huko Long Island.
Programu hii inaruhusu wakazi, ambao umri wao uko kati ya miaka 84 na 93, kushirikiana kijamii, kukumbuka mambo ya zamani na kushiriki katika shughuli ndogo za viungo vya mwili.